Isa. 49:18 SUV

18 Inua macho yako, ukatazame pande zote; hao wote wanajikusanya na kukujia. Kama niishivyo, asema BWANA, hakika utajivika na hao wote, kama kwa uzuri, nawe utajifungia hao, kama bibi arusi.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:18 katika mazingira