Isa. 49:22 SUV

22 Bwana MUNGU asema hivi, Tazama, nitawainulia mataifa mkono wangu, na kuwatwekea kabila za watu bendera yangu; nao wataleta wana wako vifuani mwao, na binti zako watachukuliwa mabegani mwao.

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:22 katika mazingira