Isa. 49:5 SUV

5 Na sasa BWANA asema hivi, yeye aliyeniumba tangu tumboni niwe mtumishi wake, ili nimletee Yakobo tena, na Israeli wakusanyike mbele zake tena; (maana mimi nimepata heshima mbele ya macho ya BWANA, na Mungu wangu amekuwa nguvu zangu);

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:5 katika mazingira