Isa. 49:8 SUV

8 BWANA asema hivi, Wakati uliokubalika nimekujibu, na siku ya wokovu nimekusaidia; nami nitakuhifadhi, nitakutoa uwe agano la watu hawa, ili kuiinua nchi hii, na kuwarithisha urithi uliokuwa ukiwa;

Kusoma sura kamili Isa. 49

Mtazamo Isa. 49:8 katika mazingira