Isa. 5:9 SUV

9 BWANA wa majeshi asema katika masikio yangu, Hakika majumba mengi yatakuwa ukiwa, naam, majumba makubwa, mazuri, yatakuwa hayana watu.

Kusoma sura kamili Isa. 5

Mtazamo Isa. 5:9 katika mazingira