Isa. 50:8 SUV

8 Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu; ni nani atakayeshindana nami? Na tusimame pamoja; ni nani aliye hasimu yangu? Na anikaribie basi.

Kusoma sura kamili Isa. 50

Mtazamo Isa. 50:8 katika mazingira