Isa. 52:12 SUV

12 Maana hamtatoka kwa haraka, wala hamtakwenda kwa kukimbia, kwa sababu BWANA atawatangulia; na Mungu wa Israeli atawafuata nyuma; awalinde.

Kusoma sura kamili Isa. 52

Mtazamo Isa. 52:12 katika mazingira