Isa. 52:14 SUV

14 Kama vile wengi walivyokustaajabia, (uso wake ulikuwa umeharibiwa sana zaidi ya mtu ye yote, na umbo lake zaidi ya wanadamu),

Kusoma sura kamili Isa. 52

Mtazamo Isa. 52:14 katika mazingira