Isa. 54:4 SUV

4 Usiogope; maana hutatahayarika; wala usifadhaike; maana hutaaibishwa; kwa kuwa utaisahau aibu ya ujana wako, pia mashutumu ya ujane wako hutayakumbuka tena.

Kusoma sura kamili Isa. 54

Mtazamo Isa. 54:4 katika mazingira