Isa. 55:5 SUV

5 Tazama, utaita taifa usilolijua, na taifa lisilokujua wewe litakukimbilia, kwa sababu ya BWANA, Mungu wako, na kwa ajili yake Mtakatifu wa Israeli; maana amekutukuza.

Kusoma sura kamili Isa. 55

Mtazamo Isa. 55:5 katika mazingira