Isa. 55:7 SUV

7 Mtu mbaya na aache njia yake,Na mtu asiye haki aache mawazo yake;Na amrudie BWANA,Naye atamrehemu;Na arejee kwa Mungu wetu,Naye atamsamehe kabisa.

Kusoma sura kamili Isa. 55

Mtazamo Isa. 55:7 katika mazingira