Isa. 56:11 SUV

11 Naam, mbwa hao wana choyo sana, hawashibi kamwe; na hao ni wachungaji wasioweza kufahamu neno; wote pia wamegeuka upande, wazifuate njia zao wenyewe, kila mmoja kwa faida yake, toka pande zote.

Kusoma sura kamili Isa. 56

Mtazamo Isa. 56:11 katika mazingira