Isa. 56:3 SUV

3 Wala mgeni, aambatanaye na BWANA, asiseme hivi, Hakika yake BWANA atanitenga na watu wake; wala towashi asiseme, Mimi ni mti mkavu.

Kusoma sura kamili Isa. 56

Mtazamo Isa. 56:3 katika mazingira