Isa. 57:13 SUV

13 Utakapolia, na wakuponye hao uliowakusanya; lakini upepo utawachukua; uvuvio tu utawachukulia mbali; lakini yeye anayenitumaini ataimiliki nchi, na kuurithi mlima wangu mtakatifu.

Kusoma sura kamili Isa. 57

Mtazamo Isa. 57:13 katika mazingira