Isa. 58:14 SUV

14 ndipo utakapojifurahisha katika BWANA; nami nitakupandisha mahali pa nchi palipoinuka; nitakulisha urithi wa Yakobo baba yako; kwa maana kinywa cha BWANA kimenena hayo.

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:14 katika mazingira