Isa. 58:4 SUV

4 Tazama, ninyi mwafunga mpate kushindana na kugombana, na kupiga kwa ngumi ya uovu. Hamfungi siku hii ya leo hata kuisikizisha sauti yenu juu.

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:4 katika mazingira