Isa. 58:9 SUV

9 Ndipo utaita, na BWANA ataitika; utalia, naye atasema, Mimi hapa. Kama ukiiondoa nira; isiwepo kati yako, wala kunyosha kidole, wala kunena maovu;

Kusoma sura kamili Isa. 58

Mtazamo Isa. 58:9 katika mazingira