Isa. 59:10 SUV

10 Twapapasa-papasa kutafuta ukuta kama kipofu, naam, twapapasa kama watu wasio na macho; twajikwaa wakati wa adhuhuri, kana kwamba ni wakati wa ukungu wa alfajiri; kati yao waliowanda tumekuwa kama wafu.

Kusoma sura kamili Isa. 59

Mtazamo Isa. 59:10 katika mazingira