Isa. 59:18 SUV

18 Kadiri ya matendo yao, kwa kadiri iyo hiyo atawalipa, ukali kwao wampingao, malipo kwa adui zake; naye atavirudishia visiwa malipo.

Kusoma sura kamili Isa. 59

Mtazamo Isa. 59:18 katika mazingira