Isa. 6:13 SUV

13 Na ijapokuwa imebaki sehemu moja katika sehemu kumi ndani yake, italiwa hii nayo; kama mvinje na kama mwaloni, ambao shina lake limebaki, ingawa imekatwa; kadhalika mbegu takatifu ndiyo shina lake.

Kusoma sura kamili Isa. 6

Mtazamo Isa. 6:13 katika mazingira