Isa. 60:14 SUV

14 Na wana wa watu wale waliokutesaWatakuja kwako na kukuinamia;Nao wote waliokudharauWatajiinamisha hata nyayo za miguu yako;Nao watakuita, Mji wa BWANA,Sayuni wa Mtakatifu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Isa. 60

Mtazamo Isa. 60:14 katika mazingira