16 Utanyonya maziwa ya mataifa,Utanyonya matiti ya wafalme;Nawe utajua ya kuwa mimi, BWANA, ni mwokozi wako,Na mkombozi wako, Mwenye enzi wa Yakobo.
Kusoma sura kamili Isa. 60
Mtazamo Isa. 60:16 katika mazingira