Isa. 61:6 SUV

6 Bali ninyi mtaitwa makuhani wa BWANA; watu watawaiteni wahudumu wa Mungu wetu; mtakula utajiri wa mataifa, na kujisifia utukufu wao.

Kusoma sura kamili Isa. 61

Mtazamo Isa. 61:6 katika mazingira