Isa. 61:8 SUV

8 Maana mimi, BWANA, naipenda hukumu ya haki, nauchukia wivi na uovu; nami nitawalipa malipo katika kweli, nitaagana nao agano la milele.

Kusoma sura kamili Isa. 61

Mtazamo Isa. 61:8 katika mazingira