Isa. 62:4 SUV

4 Hutaitwa tena Aliyeachwa, wala nchi yako haitaitwa tena, Ukiwa; bali utaitwa Hefsiba; na nchi yako Beula; kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa.

Kusoma sura kamili Isa. 62

Mtazamo Isa. 62:4 katika mazingira