Isa. 63:3 SUV

3 Nalikanyaga shinikizoni peke yangu;Wala katika watu hakuwapo mtu pamoja nami;Naam, naliwakanyaga kwa hasira yangu,Naliwaponda kwa ghadhabu yangu;Na mavazi yangu yametiwa madoa kwa damu yao,Nami nimezichafua nguo zangu zote.

Kusoma sura kamili Isa. 63

Mtazamo Isa. 63:3 katika mazingira