Isa. 63:9 SUV

9 Katika mateso yao yote yeye aliteswa, na malaika wa uso wake akawaokoa; kwa mapenzi yake, na huruma zake, aliwakomboa mwenyewe; akawainua, akawachukua siku zote za kale.

Kusoma sura kamili Isa. 63

Mtazamo Isa. 63:9 katika mazingira