Isa. 65:18 SUV

18 Lakini furahini, mkashangilie daima, kwa ajili ya hivi niviumbavyo; maana, tazama, naumba Yerusalemu uwe shangwe, na watu wake wawe furaha.

Kusoma sura kamili Isa. 65

Mtazamo Isa. 65:18 katika mazingira