Isa. 65:20 SUV

20 Hatakuwapo tena mtoto wa siku chache, wala mzee asiyetimia siku zake; kwa maana mtoto atakufa mwenye umri wa miaka mia; bali mtenda dhambi mwenye umri wa miaka mia atalaaniwa.

Kusoma sura kamili Isa. 65

Mtazamo Isa. 65:20 katika mazingira