Isa. 66:12 SUV

12 Maana BWANA asema hivi, Tazama, nitamwelekezea amani kama mto, na utukufu wa mataifa kama kijito kifurikacho, nanyi mtapata kunyonya; mtabebwa; na juu ya magoti mtabembelezwa.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:12 katika mazingira