Isa. 66:14 SUV

14 Nanyi mtaona, na mioyo yenu itafurahi, na mifupa yenu itasitawi kama majani mabichi; na mkono wa BWANA utajulikana, uwaelekeao watumishi wake, naye atawaonea adui zake ghadhabu.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:14 katika mazingira