Isa. 66:17 SUV

17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema BWANA.

Kusoma sura kamili Isa. 66

Mtazamo Isa. 66:17 katika mazingira