Isa. 7:16 SUV

16 Kwa maana kabla mtoto huyo hajajua kuyakataa mabaya na kuyachagua mema, nchi ile, ambayo wewe unawachukia wafalme wake wawili, itaachwa ukiwa.

Kusoma sura kamili Isa. 7

Mtazamo Isa. 7:16 katika mazingira