Isa. 7:18 SUV

18 Tena itakuwa katika siku hiyo BWANA atampigia kelele inzi aliye katika pande za mwisho za mito ya Misri, na nyuki aliye katika nchi ya Ashuru

Kusoma sura kamili Isa. 7

Mtazamo Isa. 7:18 katika mazingira