Isa. 7:9 SUV

9 tena kichwa cha Efraimu ni Samaria, na kichwa cha Samaria ni mwana wa Remalia. Kwamba hamtaki kusadiki, bila shaka hamtathibitika.

Kusoma sura kamili Isa. 7

Mtazamo Isa. 7:9 katika mazingira