Isa. 8:1 SUV

1 BWANA akaniambia, Ujipatie ubao mkubwa ukaandike juu yake kwa kalamu ya binadamu, Kwa Maher-shalal-hash-bazi;

Kusoma sura kamili Isa. 8

Mtazamo Isa. 8:1 katika mazingira