Isa. 8:22 SUV

22 nao wataiangalia nchi, na, tazama, shida na giza; hapana changamko kwa sababu ya dhiki; nao watafukuzwa na kuingia katika giza kubwa.

Kusoma sura kamili Isa. 8

Mtazamo Isa. 8:22 katika mazingira