Isa. 8:4 SUV

4 Kwa maana kabla mtoto huyo hajapata kujua kusema, Baba yangu, na Mama yangu, hazina za Dameski na mateka ya Samaria yatachukuliwa mbele ya mfalme wa Ashuru.

Kusoma sura kamili Isa. 8

Mtazamo Isa. 8:4 katika mazingira