Isa. 9:19 SUV

19 Kwa sababu ya hasira ya BWANA wa majeshi nchi hii inateketea kabisa; watu hawa nao ni kama kuni zitiwazo motoni; hapana mtu amhurumiaye ndugu yake.

Kusoma sura kamili Isa. 9

Mtazamo Isa. 9:19 katika mazingira