Hosea 1:10 BHN

10 Lakini idadi ya Waisraeli itakuwa kubwa kama mchanga wa pwani ambao haupimiki wala hauhesabiki. Pale ambapo Mungu aliwaambia, “Nyinyi si watu wangu,” sasa atawaambia, “Nyinyi ni watoto wa Mungu aliye hai.”

Kusoma sura kamili Hosea 1

Mtazamo Hosea 1:10 katika mazingira