Hosea 1:11 BHN

11 Watu wa Yuda na wa Israeli wataungana pamoja na kumchagua kiongozi wao mmoja; nao watastawi katika nchi yao. Hiyo itakuwa siku maarufu ya Yezreeli.

Kusoma sura kamili Hosea 1

Mtazamo Hosea 1:11 katika mazingira