Hosea 1:7 BHN

7 Lakini nitawahurumia watu wa Yuda na kuwaokoa. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, nitawaokoa, lakini si kwa nguvu za kijeshi, au pinde, au panga, au farasi au wapandafarasi.”

Kusoma sura kamili Hosea 1

Mtazamo Hosea 1:7 katika mazingira