Hosea 10:10 BHN

10 Nitawajia watu hawa wapotovu na kuwaadhibu;watu wa mataifa watakusanyika kuwashambulia,watakapoadhibiwa kwa ajili ya dhambi zao nyingi.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:10 katika mazingira