Hosea 10:11 BHN

11 Efraimu ni ndama aliyefundishwa vizuri,akapenda kupura nafaka.Lakini sasa shingo yake nzuri nitaifunga nira.Yuda atalima kwa jembe yeye mwenyewe,naam, Yakobo atakokota jembe la kupalilia.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:11 katika mazingira