Hosea 10:12 BHN

12 Pandeni wema kwa faida yenu,nanyi mtavuna upendo;limeni mashamba yaliyoachwa,maana wakati wa kunitafuta mimi Bwana umefikanami nitawanyeshea baraka.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:12 katika mazingira