Hosea 10:13 BHN

13 Lakini nyinyi mmepanda uovu,nyinyi mmevuna dhuluma;mmekula matunda ya uongo wenu.Wewe Israeli ulitegemea nguvu zako mwenyewe,na wingi wa askari wako.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:13 katika mazingira