14 Kwa hiyo msukosuko wa vita utawajia watu wako;ngome zako zote zitaharibiwa,kama Shalmani alivyoharibu Beth-arbeli vitani,kina mama wakapondwa pamoja na watoto wao.
Kusoma sura kamili Hosea 10
Mtazamo Hosea 10:14 katika mazingira