Hosea 10:2 BHN

2 Mioyo yao imejaa udanganyifu.Sasa ni lazima wawajibike kwa hatia yao.Mwenyezi-Mungu atazibomoa madhabahu zaona kuziharibu nguzo zao.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:2 katika mazingira