1 Waisraeli walikuwa kama mzabibu mzuri,mzabibu wenye kuzaa matunda.Kadiri matunda yalivyozidi kuongezeka,ndivyo walivyozidi kujijengea madhabahu.Kadiri nchi yao ilivyozidi kustawi,ndivyo walivyozidi kupamba nguzo zao za ibada.
Kusoma sura kamili Hosea 10
Mtazamo Hosea 10:1 katika mazingira