Hosea 10:4 BHN

4 Wanachosema ni maneno matupu;wanaapa na kufanya mikataba ya bure;haki imekuwa si haki tena,inachipua kama magugu ya sumu shambani.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:4 katika mazingira